Kuna vifaa vya kukandia.Naweza hio kazi rahisi. Hivi vya kukanda unga ndio siwezi,too complicated for me.
Nasubiri mrejesho, usipoleta nitakukumbusha usije ukanitia aibu dada yako huko.Ngoja nitajaribu mpenzi,Asante.
Nitakuleteaga mrejesho
Mie zilinitoa nishai egg chop, aisee kuzitia kwenye mafuta zikatawanyikaa, ikabidi nirudi nimuulize farkhina nilikosea nini ndio akanielekeza hadi nikaweza.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ulikosea kutokurudia,ungejaribu tena na tena mwisho ungejua.
Hakuna ambaye hakutoa kaukau siku ya kwanza kupika chapatti tukiacha unafiki.
RS ndio zinapatikana kwa urahisi maeneo mengi.Niletee na mie basi. Me natumia brand ya RS.
Mie mmojawapo ukipata dawa nijulishe.........zimenifanya sipendi chapati ukimaliza kula vhapati natupia magnesium daahhMi chapati huwa zinanijaza tumbo [zinanifanya nijisikie nimeshiba mno] sana.
Hivi mpo mlio kama mimi?
Na kwa sababu hiyo huwa sizili mara kwa mara.
Punguza mafuta unayotumia kupikia. From yale ya kupaka wakati unatengeneza layers hadi wakati wa kuzichoma.Mie mmojawapo ukipata dawa nijulishe.........zimenifanya sipendi chapati ukimaliza kula vhapati natupia magnesium daahh
Rudia kusoma hiyo sentensi yangu..neno la mwisho!
dah mama za siku naona umetukumbuka leo sometime nawaza cartoon za kifimbo cheza ungekabiziwa huunyooshe wale wasela wa kuchafua lugha jf kwa kuwapa ban ...Mh..siwezi ubishi, umeshinda mama angu.
Ni rahisi sana uje niku...Hongera
Ila katika kitu kilichinishinda kupika basi n chapati za kukanda aisee
Kwenye hii thredi kinachoniuma ni kwa huyu Evelyne kuwa ni mke wa mtu.
Punguza mafuta unayotumia kupikia. From yale ya kupaka wakati unatengeneza layers hadi wakati wa kuzichoma.
Ukiweka tumia brush.
love you more sweet mangi wanguHahahahah!
I feel blessed mkuu...utuombee tudumu pamoja kwa amani na furaha mkuu.
PS: I love you Evelyn Salt. I love you darling. You have been a blessing to my life.
Huyu bibie hana tofauti na kifimbo cheza ila yy ameongezea na ubishi juu [emoji23] [emoji23] [emoji23] (kidding)Mh..siwezi ubishi, umeshinda mama angu.