Mapishi ya chapati za kumimina

Kwa viungo hivyo hiyo chapati lazima iwe tamu sana...
 
Huo Unga ngano nusu zinatoka chapati ngp
 
Itategemea ww unatoa size gani mkuu Ila kama size ya kawaida ambayo ni nzito na kubwa kiasi zinatoa kuanzia 12-14
Huo Unga ngano nusu zinatoka chapati ngp
 
Napenda kupika mno kuosha vyombo sasa hiiiiiiiiiiii (on saint magu voice) ingekuwaga unasema vyombo kuwa visafi na vikawa napenda kupika kitu kipya natamani hata nimvute yule dada wa mapishi wa azam nimweke ndani
 
Ukipata muda uweke namna ya kuchoma chapati za kusukuma.

Kuna siku nimechoma zikawa ngumu kama nimechanganya saruji na unga wa ngano.
Chapati za kusukuma rahisi sana, shida yangu ipo kwenye za kumiminia zinatoka zimekatikakatika
 
Hizi chapati nimepika jana ila watu hawakupenda uwepo wa sukari
 
Ukipata muda uweke namna ya kuchoma chapati za kusukuma.

Kuna siku nimechoma zikawa ngumu kama nimechanganya saruji na unga wa ngano.

Ulikanda mwenyewe?

Kuna mbinu mbili tatu

Moja kukandia mafuta
Mbili kukandia maji ya baridii

Kukanda muda mrefu

Kuacha unga uumuke

Kupakaza kando mafuta kabla haujalifanya chapat
 
kwa style hii hatuoi ng'oooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…