Mapishi ya Chatu

Aisee mi hapana kwa kweli, mh au alikuwa nyoka wa baharini??
Nafikiri alikuwa wa baharini, lakini kumbuka kuwa hata nyoka wa nchi kavu anaweza kusihi baharini. Wao wenyewe walisema hata nyoka wa nchi kavu wote wana radha ya aina moja tu. Kinahitajiwa ufundi wa kumuua kusudi sumu yake isisambae kwenye nyama. Huko japan kuna wapishi maalumu ya nyama ya nyoka; lazima nyoka akikamatwa anelewa akiwa hai halafu mpishi mwenye ndiye anamchinja.
 
Dah sema wenzetu Hawa bagui, sisi Kuna watu hawali samaki for no reason at all.

Sema nahisi uki kuta kapikwa, utakula tu na kusifia.
Mpaka uambiwe ni ni I, ndo unaeza jifanya hupendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…