Mapishi ya donati

dada farkhina msaada tafadhali
 
jamani tafadhali mwenye uzoefu na mapishi ya donat anisaidie namna ya kuandaa

Rafiki angalia hio post ya Mahmood hapo juu ameweka app ya mapishi hio kitu ipo ndani yake..ukifungua 'biskuti'-donati
 
Last edited by a moderator:
Ila donat kwa mie naon ina viambaupishi ving kuliko maandaz
Kama nini vile?
Kwa maandazi natumia
Amira
Bicabonate soda
Baking powder /chapa maandashi
Sukari
Blue band
Donati inahitaji nini zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…