paschal sabai
Member
- Apr 5, 2017
- 83
- 73
No sio kalimatiHizi ni kalimati
Hizi ni kalimati za sukari ya ndani
Nipo tayrimwenye kujua hatua za upishi wa donati
Kuna kalimati za sukari ya juu [shira] na kuna kalimati za sukari ya ndani sukari ya moj kwa mojNo sio kalimati
Unakosea my..Donats tamu zinakuwa na vanila kidogo,mayai,sukari,chumvi,maziwa,blueband na baking powderEti mi najua Donati na andazi tofauti yake ni kile kitobo tu, hivo naandaa unga wa maandazi then nakata donati, nakosea?
Na chumvi tena?Unakosea my..Donats tamu zinakuwa na vanila kidogo,mayai,sukari,chumvi,maziwa,blueband na baking powder
Donat limejaa nyama bana.... haladlfu haliumuki kama andazi... usisahau unaweza weka icing au sukari iloyeyushwa juu kama mbwembwe na kinogesho