Wapenzi mie upishi zamani nilikuwa sipendi kabisa ha ha ila sasa ndio nimeanza kuwa na Interest za kupika pika vyakula mbalimbali Ila kuna vitu napenda sana kujua,hasa hapa nilipo tukiagiza Keki tunaletewa ugali si ugali ,keki si keki,nimewahi kupika keki ndogo tu ya kawaida kwa family kwa kufata recipe za mitandaoni
Please naombeni mwongozo ni vifaa gani ninunue maalum kwa keki nataka niwe mtaalam wa keki aina zote -Yummy