Mapishi ya maandazi

Duuuh mate yamenitoka hapa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ngoja niyapike leo...yamenivutia sana...
 
....Nafikiria kuweka asali badala ya sukari, je kuna aliyewahi kujaribu na kunaweza kuwa na reaction yoyote ? Isijekuwa makemikali yakachanganyika na kutengeneza haidrojen oksaidi na kujikuta unajamba 24/7 mpaka ikweta inawaka moto ...ingawa eti kuna bazungu wanatuzuga eti hewa itokanayo na mashuzi inasaidia kutibu magonjwa ! Hawa si wanakula fishi n chips, au popkoni, wakafanye utafiti wa yale matumbo yanayoshindiliwa viporo vya maaragwe, vizazi vitamu na kushushiwa na mtindi.....halaf catalyst ya karanga za kuchemsha teh teh teh teh 🙂
 

Hamira kijiko 1
Halafu baking powder kijiko 1
Kama sijaelewa ??!
 
Ni matamu kwa kweli nimejaribu
 

Attachments

  • 1405706118672.jpg
    71.3 KB · Views: 547
Supu ya samaki ilihusika
 

Attachments

  • 1405706324428.jpg
    46.4 KB · Views: 490

Ngano 1 kg
Tui la nazi 800 ml
Sukari 120 gr
Hamira 20 gr
Iliki Grinded 10 gr
mafuta vijiko vitatu vikubwa
 
Aiseee hii kitu nilikuwa naitafuta kuliko maelezo,nimechoka kula mikate kila siku.
Nalog off
 
Samahani wapendwa wangu!!
Hivi unapokanda maandazi ni ada kukandia maji ya moto au baridi ili yawe laini?
 
Mi napenda kutumia tui la uvugu vugu sio hot sababu ya hamira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…