Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Mahitaji
Chemsha nyama na limao, kitunguu swaum, tangawizi chumvi na maji kiasi mpaka nyama iive, Hakikisha unaiacha na supu kiasi kwa ajili ya kuwekea kwenye ndizi.Kisha katakata nyanya na vitunguu na uweke pembeni .Menya ndizi na viazi kisha zichemshe pamoja na vitunguu, nyanya, maji kidogo, mafuta na uhakikishe haziivi kabisa. Baada ya hapo tia nyama na supu yake, pilipili mzima na chumvi na uache uchemke mpaka ndizi na viazi viive.Na baada ya hapo mchemsho wako utakuwa tayari kwa kuliwa
Asprin karibu hubby.
- Ndizi mbichi 6
- Nyama ya ng'ombe (nusu kilo)
- Viazi mviringo 2
- Kitunguu swaum tumba tatu
- Tangawizi 1/2 kijiko cha chai
- Kitunguu maji kimoja kikubwa
- Nyanya 1 kubwa
- Mafuta (vegetable oil) 1/4 kikombe cha chai
- Chumvi kijiko cha chai
- Limao moja
- Pilipili mbili