Mapishi ya mchicha wa nazi

Umejuaje kama napenda mchicha mdogo wangu?

Nimemfundisha msichana wangu kupika mchicha wa nazi, naona sasa kanizidi mwalimu. Lol
thanks habibty
 
Mbona immesahau na mboga ya kisamvu je?inavyoonekana sisi wapenda kisamvu hatuna letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…