[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha watu wa Dar hao ndo wanablend…
Chemsha ndizi.. weka soup.. tumia mpekesho…. Sio blenda, kwani ni juice ile
The boss usikariri maisha..Kuna restaurant nimeingia nikaona wameandika kuna mtori ...dah...Ile kuagiza mtori si ndo nikagundua wana saga na blender ndizi zilizochemshwa wanachanganya na nyama ndo wanasema mtori ... nikashangaa Sana....mtori nilio Zoea ndizi zinachemshwa na nyama Hadi zinasagika zenyewe na haziwezi kuwa uji kabisa kama WA kusaga na blender....nahisi mtori Una makabila yake ...sio kila mtu anaweza pika mtori...
Wachaga na wahaya ndo wanajua kupika mtori...
Hebu wajuzi waweke tips hapa za upikqji mtori..
Mbona kwa wengine inasemekana mtoto asiblendiwe sana chakula chake?? Ukimzoesha kublend siku ukiponda ponda si katagoma kula?The boss usikariri maisha..
kwani mwanao akianza kula mtori ambao ndizi zipo blended akiwa mkubwa akaja kula mtori wa asili kabisa atasema ule wa asili hawajui kupika ndizi hazijasagwa vizuri..
nyakati na mazingira yanatubadilishia utamaduni wetu kila siku..
Wazee wa kurahisisha maisha hawataki kabisa kusumbuka hata kisamvu wanablend tu kikipakuliwa waweza hisi uharo wa ng'ombeHahaha watu wa Dar hao ndo wanablend…
Chemsha ndizi.. weka soup.. tumia mpekesho…. Sio blenda, kwani ni juice ile
Watu wanarahisisha mpaka visivyorahisishika… heri hata utumie chopper ya mkono, kuliko kublend kisamvu/ mtori 😂😂 vinatoka viko rojoooo bayaaWazee wa kurahisisha maisha hawataki kabisa kusumbuka hata kisamvu wanablend tu kikipakuliwa waweza hisi uharo wa ng'ombe
Watu wanarahisisha mpaka visivyorahisishika… heri hata utumie chopper ya mkono, kuliko kublend kisamvu/ mtori 😂😂 vinatoka viko rojoooo bayaaWazee wa kurahisisha maisha hawataki kabisa kusumbuka hata kisamvu wanablend tu kikipakuliwa waweza hisi uharo wa ng'ombe
Kuna restaurant nimeingia nikaona wameandika kuna mtori ...dah...Ile kuagiza mtori si ndo nikagundua wana saga na blender ndizi zilizochemshwa wanachanganya na nyama ndo wanasema mtori ... nikashangaa Sana....mtori nilio Zoea ndizi zinachemshwa na nyama Hadi zinasagika zenyewe na haziwezi kuwa uji kabisa kama WA kusaga na blender....nahisi mtori Una makabila yake ...sio kila mtu anaweza pika mtori...
Wachaga na wahaya ndo wanajua kupika mtori...
Hebu wajuzi waweke tips hapa za upikqji mtori..
Mimi mtori naoujua ni huo unakua umesagwa sasa sijui hapo kusagwa au utapondwa pondwa na nini, ila kinachokuja mezani ni chakula kinakua kama uji kabisaaa.... Hat mimi nilipokuj kwnu huko nilishangaa naona mtori ndizi kama ndizi, viazi, na nyama vyote kama vilivyo ....Naukubali sana mtori… sipati picha nikija kwenu uchagani nitakavyokuwa nakunywa kila asbh na jioni Certified Hater
😂😂😂 unapekeshwa mpk unalainika.. ukiblend inakuwa too smoothMimi mtori naoujua ni huo unakua umesagwa sasa sijui hapo kusagwa au utapondwa pondwa na nini, ila kinachokuja mezani ni chakula kinakua kama uji kabisaaa.... Hat mimi nilipokuj kwnu huko nilishangaa naona mtori ndizi kama ndizi, viazi, na nyama vyote kama vilivyo ....
Dar kila kitu fake, hadi watu fake cc MloganzilaHahaha watu wa Dar hao ndo wanablend…
Chemsha ndizi.. weka soup.. tumia mpekesho…. Sio blenda, kwani ni juice ile
Mi sijui utafanyaje ila nataka nione uji uji pale... Halafu tangu nimekua mkubwa siyatumii tena nilinenepa shingo kama kenge yani .. ukitaka nenepa ghafla cheza nayo hayo😂😂😂 unapekeshwa mpk unalainika.. ukiblend inakuwa too smooth