Mapishi ya sombe ya wakongomani

Mapishi ya sombe ya wakongomani

Swts

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
3,062
Reaction score
1,294
Hello there, mambo vipi? mihangaiko je. .anayejua kupika sombe Ile yakikongo wanayotumia oxtail meet na mawese please naomba unielekeze please. Thanks.
 
Kisamvu cha mawese ukimpata mtu anayejua kukitengeneza ni kitamu balaa na wengine huweka na karanga za kusaga, ila hichi cha kutengenezwa na mkia wa ng'ombe sijawahi kukila.
 
Sijazungumzia kipogoro nimezungumzia kicongoleese na nimekula ni kitamu sana
kuna wimbo flani hivi nahisi uliimbwa na mkongowoman ....

Nalia kwetu nalia kwetu....siku nikifika ..siku nikifika....

Siku nikifika ....nitakula wali ee...wali na sombe...!

Siku nikifika ...siku nikifika...nitakula wali ...wali na samaki ee!

Sasa nasikia wapogoro wanahusudu wali na samaki(sombe) ile mbaya.
 
Sombe ni kisamvu, labda kama kuna sombe nyingine ya wapogoro.
 
Nimekula ni kitamu.
Ila nafikiri wanachemsha kisamvu na nyama separately na wakati wa kukaanga ndipo unapochanganya. Utaalamu utakuwa kwenye ratio ya nyama na kisamvu.

Nilijaribu ingawa sikutumia mawese ila nilizidisha kisamvu so hakikuwa kitamu kama cha wenyewe.
 
Jamani, mawese, nahisi ile methali ya 'mla nazi samli haiwezi', ilitakiwa kuwa 'mla samli, mawese hayawezi'
 
Nimekula ni kitamu.
Ila nafikiri wanachemsha kisamvu na nyama separately na wakati wa kukaanga ndipo unapochanganya. Utaalamu utakuwa kwenye ratio ya nyama na kisamvu.

Nilijaribu ingawa sikutumia mawese ila nilizidisha kisamvu so hakikuwa kitamu kama cha wenyewe.
upo sawa my dear ila kuna namna wanamix navile vitunguu virefu vya majani tamu hatare
 
Back
Top Bottom