Sombe = Kisamvu
Wali ni sombe ni chakula ya kipogoro hiyo!
kuna wimbo flani hivi nahisi uliimbwa na mkongowoman ....Sijazungumzia kipogoro nimezungumzia kicongoleese na nimekula ni kitamu sana
upo sawa my dear ila kuna namna wanamix navile vitunguu virefu vya majani tamu hatareNimekula ni kitamu.
Ila nafikiri wanachemsha kisamvu na nyama separately na wakati wa kukaanga ndipo unapochanganya. Utaalamu utakuwa kwenye ratio ya nyama na kisamvu.
Nilijaribu ingawa sikutumia mawese ila nilizidisha kisamvu so hakikuwa kitamu kama cha wenyewe.