magdarena
Member
- Jun 21, 2012
- 58
- 23
Habarini wanandugu. Leo nataka kuwafundisha mapishi ya viazi vyakuchemsha. Ni chakula kitamu narahisi sana kupika.
Mahitaji
Viazi mbatata 6
Hoho 2 kubwa
Karoti 3 kubwa
Vitunguu maji 2 vikubwa
Chumvi
Binzari ya simba mbili( curry powder) kijiko kimoja chachakula.
Jinsi yakupika.
Menya viazi navikate nusu (inapendeza ukipata viazi vyaukubwa kidogo).kisha uvioshe vizuri.
Menya vitunguu vikatekate.
Menya karoti, naukate vipande vidogovidogo, katakata. Na hoho vupande vyakiasi.
Chukua sufuria lakiasi, weka viazi na chumvi namafuta yakula kodogo, weka maji ambayo utahakikisha yakikauka viazi vimeiva. Chemsha mpaka maji yakauke na viwe. Vimeiva na kubaki mafuta. Viipuwe. Chukua sufuria lingine mimina yale mafuta yalokua katika viazi weka ule mchanganyiko wako wa vitunguu, hoho, karoti kaanga huku ukiongeza chunvi kidogo nabinzari. Vikishaanza kulainika weka viazi nageuzageuza huku umeweka moto mdogo, baada ya dakika 5 vitakua tear. Ipua naandaa kwakula.