Hahaha nimecheka,,nunua ndizi zinazoitwa broken,unga wa muhogo na mafuta
Ponda au blend ndizi zako zikilainika changanya na unga wa muhogo mpaka upate ugumu unaohitaji,,
Tengeneza vibama vyako kwa kutumia mikono miwil ili kupata shape ile ya kibama
Deep fry
Serve vikiwa moto,,ni vitamu hatar,
Hawavijui watu wengi au majina yanatumika tofauti