Mapishi ya wine (mbege) hatua kwa hatua


Pamoja! Mkuu ila ninavyojua Mimi msesewe Ni kuongeza ukali wa pombe(uchungu) na sio alcoholic volume
 
Pamoja! Mkuu ila ninavyojua Mimi msesewe Ni kuongeza ukali wa pombe(uchungu) na sio alcoholic volume
Ni kweli mkuu, ila hiki kiungo husabasha maumivu makali sana ya kichwa kwa baadhi ya watumiaji was hiki kinywaji
 
Ni subiria mapishi ya gongo nipate kulewa vizuri
Yule mama wa kibamba pale anapika mbege..nitajiri mkubwa sana kwa sasa, nashangaa kwann hawamjumuishi kwenye malkia wa nguvu.. kajenga majumba kanunua magari n.k
 
Hata Mimi hicho kiungo huwa sipendelei kabisa!
Ukiamka asubuhi kichwa kinauma balaa! Ni sawa na mbege iliyokaa mpaka ikawa ngera
Ngeraa ukitaka kuifaidi unaongeza huko konyagii
 
Msesewe Ni mti mchungu mno ukiukata unatoa maziwa maziwa unatoa vitunda vya kijani size ya zabibu!
Jina la kisayansi unaitwa rauvoflia caffra ingia Google utauona

Kilicho kichungu sio mti,ni magome yake!
Na hayo magome ndio yanatumika kuchachusha wine ya mbege, baada ya kuyakuasha na kisha kuyasaga!
 
Kilicho kichungu sio mti,ni magome yake!
Na hayo magome ndio yanatumika kuchachusha wine ya mbege, baada ya kuyakuasha na kisha kuyasaga!
Magome yake nadhani yanatoka kwenye mti wa msesewe!
Magome Ni sehemu ya mti!

Au unamaanisha yamejipanda yenyewe Kama fungus au lichens?
 
Ila wari shu wang'liyaa kabisaa..ndeu yevava tikii pooh mbaka.

Ila ngiishi iibadha. Msheku wakawa ekeri usha tiki.

Kure shekuyakwa nadhefa kwa inwa mwenga[emoji28] yaan evedhaa na kedheni ya mwenga. Nelundi ktambua kuu. Okenia dhunu ngakkumbwa msheku akwa.
 
Najua kupika dadiii,gongo,wanzuki,mbege japo kwa tabu sana(kuinywa najua vizuri mno)nini tena nimesahau[emoji28][emoji28][emoji28]eheee ndo hivyo
Kimbhumu unajua kuipika?
 
Ukimaliza maandalizi yote, baada ya siku moja unakuta pombe inanatanata kama gundi, ni kosa gani limefanyika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…