Wale wenzangu wa huku jikoni hebu leo kila mmoja ataje chakula apendacho na anaandaje tugawane maujuzi ya mahanjumati.....
Naanza mimi napenda afghani rice recipe yake hii apa ndivo naandaa hivi
https://www.jamiiforums.com/jf-chef/582355-afghani-rice-qabuli-palao.html
Pia samaki wa kukaanga napendelea
Uungaji ni tangawizi,pilipili manga,pilipili ya kuwasha,chumvi,tangawizi na kitunguu saumu....nikishawaunga naweka 30 minutes - 45 wakoleee
Ili wanoge zaidi huwa nna achari yake maalum utengezaji wake ni..
Mbirimbi,bizari ya pilau,chumvi kidogo na pilipili nachemsha na maji kidogo ikipoa nasaga kwa blender
Sasa hii aina ya sosi huwa nawamwagia kwa juu samaki wangu utamu unazidi lol....
Haya mashoti mje Chocs mimi49 amu Heaven on Earth measkron ameline na wengine
Na wale waonjaji wetu Nyani Ngabu BAK MziziMkavu Jerrymsigwa utafiti Bululu mshana jr na wengine
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Last edited by a moderator: