chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Wikendi hii nilipata fursa ya kutembela magereza ya Ukonga na Segerea(Segere Màtata) na nilijaribu kuongea na wapangaji wa huko kuhusu ujio wa Kangi Lugola katika magereza hayo.
Wengi walipokea hoja hiyo kwa furaha na wakasema kwamba, alishauri wafungwa wafanyishwe kazi za suluba za uzalishaji mali na ikibidi kupigwa mateke katika mashamba.
Pia wanasema alipunguza bajeti ya magereza na sasa wanaishi kwa tabu, na wakasema sasa aende akaonje adha ya uamuzi wake.
Wameshauri awe anapanda ile land cruiser ili ahenye kutokana na mwili alio nao na wengine wakashauri afungwe harakaharaka kama Mh Rais anavyopenda mambo yaende fasta ili wamkabidhi pori la kufyeka na kulima kwa jembe la mkono