Mapokezi makubwa yamsubiri Kangi Lugola Segerea na Ukonga. Wadau wasema ule utaratibu wa wafungwa kupigwa mateke na kulima uanze naye, aliuunga mkono

Mwanafunzi kwa mwalimu ni sawa na mtoto kwa baba! Ni ngumu sana baba kumfunga mtoto.. Kwakuwa damu ni nzito sana kuliko jasho

Jr[emoji769]
 
Ngo, huyu haendi.
 

Hii nchi ina watu wenye akil hawafik hata milion moja


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
CCM haiwezi kumupeleka gerezani huyo mwenzao
 
Hiyo kulipwa "accomodation ya US$ 800" kwani walitakiwa kulala uwanja wa ndege? Miaka ya 2004 rudi nyuma niliwahi kuhudhuria Board meeting ya PRIDE Tanzania, posho ya kikao ilikuwa US$ 500 hiyo ni nje ya gharama za hotel sasa kwenye nchi wa watu kulipa US$ 800 kwa "Night moja" mbona ya kawaida tuu hiyo.
 
Viini macho vya ccm sitaki kuvijadiri wanatuzuga tu, ili uamini wanawazuga wajinga kwanini hawajamsweka jela kama ulivyo utaratibu wa sheria yetu ya uhujumu uchumi? Au hiyo sheria ni kwa ajiri ya akina Sethi, Kabendera na wengine?
Taifa lina watawala wa hovyo sana.
 
Kama tungekuwa serious akina Chenge, Tibaijuka na kundi lote lililonufaika na escrow walitakiwa wawe ndani kwa uhujumu uchumi na utakatishaji wa pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akishindwa kuchanga karata zake..jamaa wanamfunga kweli ohooo

Nafasi ipo kusave sooo!!

CCM oyeee!!
Hawezi ukiona still yuko uraiani hadi sasa jua limepita hilo.Wa kufungwa hawezi achwa uraiani kwanza ndani kisha ushahidi ndo unatafutwa tena kwa kusuasua ili uoze ndani kwanza mambo yako yakishavurugika nje mfano mke kakimbia,biashara zimekufa,watoto wameshasambaratika ndio unaachiwa kwa maagizo ya DPP,ili uanze upya hii inaitwa kunyooshwa eti
 
Simuombei Mabaya Kangi Lugola. Hakuwa Kiongozi mbaya. Anjali kazini Yote yatakwisha
 
Hawa hawa sisiem labda wengine, kesi ya ile yakuomba rushwa unajua iliishia wapi walikamatwa kabisa hand handed [emoji23] lakini huyo na uaziri kapewa, tafuta pesa mkuu, hakuna mtu anayeweza kata mkono wake wa kushoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…