and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Anafaa kuwa rais huyu. Apewe cheo hicho kikubwa.Wana Simiyu mmetuheshimisha nchi nzima. Ziara imefana mno. RC apandishwe cheo, inshallah, kapambana. oktoba tunatiki
CCM wanadharau sana wananchiView attachment 3374337
Nami naunga mkono hoja. Matrekta hayakwenda kulima sikukuu hiyo.Naunga Mkono hoja
CCM Chuo cha Uongozi dunianiAnafaa kuwa rais huyu. Apewe cheo hicho kikubwa.
Kwani ndio mkuu wa mkoa ule
Wana Simiyu mmetuheshimisha nchi nzima. Ziara imefana mno. RC apandishwe cheo, inshallah, kapambana. Oktoba tunatiki na Mpina atapangiwa hukooo Nanyumbu!