Mapokezi ya Diamond Platnumz Mombasa ni kufuru

Mbona tumeona mapokezi ya Mombasa hatujaoneshwa show ya 24 Dec Embu?
 
Nimeona za Nairobi hawajazipost hata video yake
Hata picha
Bado Lukamba anaedit video za show zinakujia punde. Zingatia hivi Nairobi ni ngome halali ya Wasafi while Ali Kiba ngome yake ni Mombasa kwa Joho, nilitegemea show ya Mondi Mombasa ingebuma coz Kiba kule anakubalika sana. Nimeishi Nairobi na Mombasa kwa hiyo najua ninachoandika hapa.

Naamini huko Embu atakuwa kachakaza sana mondi sababu ana fans hadi Rais wa jamhuri ya Kenya.
 
Tuko tofauti sana mtu pekee niliye enda kumshangaa ni Michael Jackson
 
Ni nani alieimba nyegeee.
Daimondi na kijakaz wake.
Kwanini aimbe nyegeee.
hatujui.
mtu huyu hatauona ufalme wa mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…