Mapokezi ya Diamond Sierra Leone

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Kijana yupo kwenye level kubwa Sana tulizoea kuona mapokezi makubwa akiyapata hapa home lakini sasa anayapata hata nje ya nchi.Big up kwa hiyo step kubwa uliyopiga.
 
Nimejaribu kupost hiyo video naona imeshindikana
 
Awe Mzalendo
Ajue Tunahaingikia Ndege Kule Mkulima Anakotupa Tabu
Tutaipata Ndege Yetu
 
umepost nje yamuda hivo thread yako haitakua na mapokezi mazuri kama ya bwana mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…