LGE2024 Mapokezi ya Mbowe Kijiji cha Ndato, hakika Makao Makuu ya CHADEMA yawe Mbeya. Kumbe Chadema haijafa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Ndato Rungwe imesimama, mapokezi ya mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe. Ni mwendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Serikali za Mitaa mkoa wa Mbeya

Kuengua Wagombea, kumewakosesha fursa ya kuchangamana na kubadilishana mawazo kwa Wananchi. Mikutano kama hii inaleta furaha na umoja kwa wananchi.

Wananchi Waliikosa hii furaha kwa miaka 7.

Hongereni Watanzania
 
Usishangae kwa Wingi wa Taarifa za Mbowe na CHADEMA, Siku zote sisi hatukalii habari, Kizuri kula na wenzako

Huyu hapa ni Freeman Mbowe akiingia Ndato kuwanadi wagombea wa Chadema kwenye kinyanganyiro cha Uchaguzi wa serikali za Mitaa

Screenshot_2024-11-23-16-06-19-1.png
Screenshot_2024-11-23-17-18-49-1.png

Ikumbukwe kwamba Kwa siku ya leo tu Mbowe amepangiwa Mikutano 9
 
Ndato Rungwe imesimama, mapokezi ya mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe. Ni mwendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Serikali za Mitaa mkoa wa Mbeya

Kuengua Wagombea, kumewakosesha fursa ya kuchangamana na kubadilishana mawazo kwa Wananchi. Mikutano kama hii inaleta furaha na umoja kwa wananchi.

Wananchi Waliikosa hii furaha kwa miaka 7.

Hongereni Watanzania
View attachment 3159716
Kukiwa na fair play CCM hawafiki asubuhi kesho. CDM hoyeeeeeeeeeeeeee!
 
Polisi waache kuingilia Siasa ili wananchi wasikilize Sera mbalimbali waweze kufanya maamuzi. CCM isifurahie kinachofanywa na Polisi dhidi ya vyama vingine kwa kuwabuguthi wakati wanatekeleza takwa la kisiasa.
 
Usishangae kwa Wingi wa Taarifa za Mbowe na CHADEMA, Siku zote sisi hatukalii habari, Kizuri kula na wenzako

Huyu hapa ni Freeman Mbowe akiingia Ndato kuwanadi wagombea wa Chadema kwenye kinyanganyiro cha Uchaguzi wa serikali za Mitaa

View attachment 3159711View attachment 3159712

Ikumbukwe kwamba Kwa siku ya leo tu Mbowe amepangiwa Mikutano 9
Kumbe kususia uchaguzi, haikuwa uamuzi sahihi.
 
Ndato Rungwe imesimama, mapokezi ya mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe. Ni mwendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Serikali za Mitaa mkoa wa Mbeya

Kuengua Wagombea, kumewakosesha fursa ya kuchangamana na kubadilishana mawazo kwa Wananchi. Mikutano kama hii inaleta furaha na umoja kwa wananchi.

Wananchi Waliikosa hii furaha kwa miaka 7.

Hongereni Watanzania
View attachment 3159716
Cdm ifie wapi, hayo ni maneno na matamanio ya majizi yote ya ccm. Hakuna namna ccm itaweza tena kuiua cdm, maana wakati ukuta. Zama za ccm zimeshapita, wataishia kufanya hujuma tu, lakini lazima watatoka madarakani.
 
Polisi waache kuingilia Siasa ili wananchi wasikilize Sera mbalimbali waweze kufanya maamuzi. CCM isifurahie kinachofanywa na Polisi dhidi ya vyama vingine kwa kuwabuguthi wakati wanatekeleza takwa la kisiasa.
Na kila CCM wanapofanya ushenzi kwa kuwatumia polisi, inazidi kuchukiwa zaidi.
 
Ndato Rungwe imesimama, mapokezi ya mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe. Ni mwendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Serikali za Mitaa mkoa wa Mbeya

Kuengua Wagombea, kumewakosesha fursa ya kuchangamana na kubadilishana mawazo kwa Wananchi. Mikutano kama hii inaleta furaha na umoja kwa wananchi.

Wananchi Waliikosa hii furaha kwa miaka 7.

Hongereni Watanzania
View attachment 3159716
Ndio maana wale kijani wenzangu wanawafanyia visa vya hapa na pale hawa jamaa, kumbe wamegundua CDM wana watu aise 😀 😀
 
Madera na mashungi ya mke wa Hafidhi yanaloa jasho anapoona hivi.
 
Back
Top Bottom