figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Kukiwa na fair play CCM hawafiki asubuhi kesho. CDM hoyeeeeeeeeeeeeee!Ndato Rungwe imesimama, mapokezi ya mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe. Ni mwendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Serikali za Mitaa mkoa wa Mbeya
Kuengua Wagombea, kumewakosesha fursa ya kuchangamana na kubadilishana mawazo kwa Wananchi. Mikutano kama hii inaleta furaha na umoja kwa wananchi.
Wananchi Waliikosa hii furaha kwa miaka 7.
Hongereni Watanzania
View attachment 3159716
Kumbe kususia uchaguzi, haikuwa uamuzi sahihi.Usishangae kwa Wingi wa Taarifa za Mbowe na CHADEMA, Siku zote sisi hatukalii habari, Kizuri kula na wenzako
Huyu hapa ni Freeman Mbowe akiingia Ndato kuwanadi wagombea wa Chadema kwenye kinyanganyiro cha Uchaguzi wa serikali za Mitaa
View attachment 3159711View attachment 3159712
Ikumbukwe kwamba Kwa siku ya leo tu Mbowe amepangiwa Mikutano 9
Cdm ifie wapi, hayo ni maneno na matamanio ya majizi yote ya ccm. Hakuna namna ccm itaweza tena kuiua cdm, maana wakati ukuta. Zama za ccm zimeshapita, wataishia kufanya hujuma tu, lakini lazima watatoka madarakani.Ndato Rungwe imesimama, mapokezi ya mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe. Ni mwendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Serikali za Mitaa mkoa wa Mbeya
Kuengua Wagombea, kumewakosesha fursa ya kuchangamana na kubadilishana mawazo kwa Wananchi. Mikutano kama hii inaleta furaha na umoja kwa wananchi.
Wananchi Waliikosa hii furaha kwa miaka 7.
Hongereni Watanzania
View attachment 3159716
Na kila CCM wanapofanya ushenzi kwa kuwatumia polisi, inazidi kuchukiwa zaidi.Polisi waache kuingilia Siasa ili wananchi wasikilize Sera mbalimbali waweze kufanya maamuzi. CCM isifurahie kinachofanywa na Polisi dhidi ya vyama vingine kwa kuwabuguthi wakati wanatekeleza takwa la kisiasa.
Ndio maana wale kijani wenzangu wanawafanyia visa vya hapa na pale hawa jamaa, kumbe wamegundua CDM wana watu aise π πNdato Rungwe imesimama, mapokezi ya mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe. Ni mwendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Serikali za Mitaa mkoa wa Mbeya