Mapokezi ya Messi yadhihirisha hakuna wa zaidi yake

Mapokezi ya Messi yadhihirisha hakuna wa zaidi yake

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Messi amepokelewa leo Paris na jiji hilo kusimama pale alipowasili na kupokewa na maefu ya wafaransa kuanzia airport hadi mitaa yote huku akiongozwa na msafara ulosheheni mapikipiki ya askari wa usalama na magari ya escort mithiri ya Rais au kiongozi wa nchi

Ni wiki nzima sasa Messi amekua aki trend katika ombo vyote vya habari vikubwa na vidogo duniani.

Mamilioni ya Followers katika pages mbali mbali za mitandao ya kijamii wameongezeka kwa idadi kubwa ndani ya masaa 24 tu.

Hakika leo dunia imepata kujiridhisha kua Messi ni mkubwa kiasi gani na ni kiumbe wa hadhi ipi katika mchezo wa soka tangu dunia ianze.
 
Itifaki haijazingatiwa kwenye huu uzi
 
Back
Top Bottom