Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Katika Hadith, Mtume Muhammad (SAW) alisema:Jamaani kilichonifurahisha hapo ni aina ya mapokezi yakiongozwa na usafiri pendwa kanda ya ziwa
Mapokezi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mohamed Kawaida mkoani Geita.
Mmoja wa hao saba ni:"Watu saba Allaah atawapa kivuli chake siku ambayo hakutakuwa na kivuli isipokuwa kivuli Chake..."
(Mustadrak al-Hakim)"Chukua fursa ya mambo matano kabla ya mambo matano: ujana wako kabla ya uzee wako, afya yako kabla ya ugonjwa wako, utajiri wako kabla ya umasikini wako, wakati wako wa mapumziko kabla ya shughuli zako, na maisha yako kabla ya mauti yako."
Ni huzuni kubwa sana ukiangalia jinsi ccm wanavyowahadaa hawa vijana. Wakitoka hapo ni kubishana kuhusu Simba na Yanga.Unajaribu kufikiria fikra za wananchi wa kisiwa cha Singapore au Japan kama wangekuwa na akili hizi ingewachukua miaka mingapi kufika walipo leo.
Jamaani kilichonifurahisha hapo ni aina ya mapokezi yakiongozwa na usafiri pendwa kanda ya ziwa
Mapokezi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mohamed Kawaida mkoani Geita.
mapokezi ya nguvu sana kwa upendo wa kiwango cha juu sanaJamaani kilichonifurahisha hapo ni aina ya mapokezi yakiongozwa na usafiri pendwa kanda ya ziwa
Mapokezi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mohamed Kawaida mkoani Geita.
hakika. Mtu mwenye akili timamu sidhani kama anaweza kufanya ujinga huonimepita hayo maeneo walio hudhuria wakazi halisi niwachache ila wengi wameletwa na magari sura zinaonekana za vijijini kabisa na wanazagaa mitaani wakishangaa shangaa
Basi nilijua Nyani Ngabu aliyeongea hivi, nikitaka nishangae amepatwa na ugonjwa gani tena?!!!.....kumbe ni wewe?!! AhVita kuu ya pili 1945, German na Japan zilipigwa sana mabomu na kubaki magofu tu, lakini Leo hii 2025 ukiangalia zile nchi zilipo utagundua fikra na maarifa mapana ni jambo muhimu sana kwa mwanadamu.
Hii ndo sentensi 'zilipendwa' ya nyumbu......Kila Leo neno lao ndo hilo.nimepita hayo maeneo walio hudhuria wakazi halisi niwachache ila wengi wameletwa na magari sura zinaonekana za vijijini kabisa na wanazagaa mitaani wakishangaa shangaa
Hao wamelipwa ngapi kila mmoja wao, 10K ?Jamaani kilichonifurahisha hapo ni aina ya mapokezi yakiongozwa na usafiri pendwa kanda ya ziwa
Mapokezi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mohamed Kawaida mkoani Geita.