Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
Nipo hapa naangalia TV live mapokezi ya makamu mwenyekiti ccm bara, Ndugu Kinana...
kilichonishangaza ni kuwa hakuna hata mjumbe hata mmoja aliyevaa barakoa...hata meza kuu hawajavaa...Sasa ndio wamepuuza uvaaji wa barakoa au mpaka mwenyekiti awepo ndio wanavaa..