Mapokezi ya Rais akitokea Marekani kwenye UNGA ni ufujaji wa kodi za walalahoi

Wewe unahangaika bure,kwani akipokelewa wewe unaumia pumbu au unateseka na nini hasa?
 
Tulizoea kwenda kupokea ndege ambazo ndio zinabeba utambulisho wa nchi yetu, leo tunahamasishwa kumpokea mtu.hii maana yake ni kutaka kuhalalisha safari za nje za mara kwa mara.
 
Kwahiyo kumpokea ndugu yako akitokea Kantalamba pale standi ya mabasi Mbezi ni ufujaji wa hela?ukumbuke huyu ni Raisi wa nchi,ni mwanamke na kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi ameweza kuliwakilisha taifa UN...
Acha kantalamba, kwa hiyo we ukiwa na ndugu yako anatoka nje basi unaamrisha ukoo mzima, majirani na ndugu zako wa mkoani muende airport kumpokea??
 
Yaani kunawakati natamani nitafumue ubongo wa watumishi wa serikali nione vichwani mwao mnanini isije kuwa rais yupo na watumishi vichaa
 
Watanzani tusiwe majuha.

Kazi yake kutowa speech na amefanya vizuri hana haja ya kupokewa wala maandamano.
hawo wanaotaka kufanya hayo ni kujipendekeza.
 
Generation hii kazi za madaraka ya utawala ni za kike,wanaume laleni mletewe mkate kitandani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…