Mapokezi ya Rais akitokea Marekani kwenye UNGA ni ufujaji wa kodi za walalahoi

Jinga wewe, we unalipi umefanya?
 
Nikisema huko ni kukosa maarifa na busara, Jamiiforums kwa sababu ya kujipendekeza watanifungia. Hivi anapokelewa kwa lipi alilofanya? Ebu acheni ujinga ninyi watu.
 

Kweli, mapokezi kama haya ni matumizi ya ovyo ya shekeli za umma na ni upumbavu ulioendekezwa na nchi zetu masikini. Hiyo ni shughuli isiyokuwa na tija yoyote, bila kujali inafanywa kwa ajili ya Samia akitokea Marekani au Lissu alitokea Belgium. Kwa kuwa baadhi ya vyama vya siasa vinaendeshwa kwa ruzuku ya Serikali, hivyo vyama navyo vinapaswa kujiepusha na matumizi ya ovyo kama hayo.
 
Exactly hapo watu wanatumia hizo kama gaps za kujilipa tu per diem na safari zisizo na tija.
 
Jinga wewe, we unalipi umefanya?
Wenye akili hujibu kwa hoja. Punguani hutukana.

Mimi kwa nafasi yangu nimefanya mengi. Nimekuwa nazunguka mabara yote duniani nikitumia weledi wangu kwaajili ya manufaa yangu, familia, nchi na Ulimwengu. Simlambi miguu au nyayo yeyote yule ili anipe teuzi au maisha.

I was born free, I live with free mind.
 
Kwahiyo kumpokea ndugu yako akitokea Kantalamba pale standi ya mabasi Mbezi ni ufujaji wa hela?ukumbuke huyu ni Raisi wa nchi,ni mwanamke na kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi ameweza kuliwakilisha taifa UN...
Hizi mambo za "ni mwanamke" has nothing to do with her presidency! Aheshimiwe kama mwanadamu mwingine. Hizi ngonjera za jinsia yake sijui huwa mnamaanisha nini, acheni hizo.
 
Hivi mbona mnapenda Sana kusema ni mwanamke?
Yani imekuwa kama wimbo wa taifa, aheshimiwe na kupewa hadhi sawa na jinsia nyingine. Kila mara utasikia ni mwanamke kana kwamba ni muujiza kuwa na Rais mwanamke
 


Mpaka tufike mbinguni tutakuwa tumechoka kweli 😳😳
 
Naliona lile li-Emirates B777 kwa mbaaali likikamata chini...
 
Ninyi akili zenu bana 😁😁😁😁
ndowale mnachamba Kwanzaa alafu ndo mnakunya kwakuogopa uchafu wamavi yenu!!

we chekbob izovitu hapo Kenya tuu wanazo toka hujazaliwa nawala hawataharuki wale kumshobokea rais maana nikodi zao... Muache ushamba!

viwaname muende kumpokea mama pochi mumpigie na vigelegele si midume tutakuwa kazini
 
Acha wivu wa kijinga, kama Simba, Yanga, Mwakinyo, Diamond na yule mgonjwa wa Ubelgiji huwa wanapokelewa why isiwe Rais ambaye ni nembo ya Taifa? Kuna watu wamekaa kupinga pinga tu kila kitu
Hamkuonekana airport kumuaga, acheni unaaa mkuu [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…