Mkuu wa kikosi cha Jeshi la Wananchi (JWTZ) kabla ya kumpokea mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano alimwambia askari wa kupiga mizinga: Askari, akiwasili mheshimiwa Rais piga mizinga 21ya mapokezi.
Askari: Afande mheshimiwa nitafanya ulivyonituma, lakini nauliza kitu kimoja? kwa mfano mheshimiwa Rais akifa kwa mzinga wa kwanza niendelee kumrushia mizinga iliyobaki 20?