A analgesic JF-Expert Member Joined Jul 27, 2013 Posts 719 Reaction score 1,112 Aug 22, 2020 #1 Hili ni fundisho kwa vitimu vidogo vidogo vinavyong'ang'ania Dar wakati hawapati mashabiki kumbe wangejiongeza wakaenda huko mikoani wangepokelewa kama wafalme na wangepata mashabiki Your browser is not able to display this video.
Hili ni fundisho kwa vitimu vidogo vidogo vinavyong'ang'ania Dar wakati hawapati mashabiki kumbe wangejiongeza wakaenda huko mikoani wangepokelewa kama wafalme na wangepata mashabiki Your browser is not able to display this video.
promethus JF-Expert Member Joined Feb 22, 2016 Posts 1,164 Reaction score 1,901 Aug 22, 2020 #2 Sawa afande. Mazoezi wanafanyia wapi?