MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Mkuu inaelekea haujamuona akidansi huyu bibie..Kwani makalio yakitikisika yanaharibu miguu mkuu
Kubwa jinga Wema na majobless wengine wataongoza mapokezi ,bila msahau Bashite
Hahahaaa sijafanikiwa kumwona mkuu ila natumai ushauri wako atauona na ataufanyia kaziMkuu inaelekea haujamuona akidansi huyu bibie..
Huwa anatikisa lile kalio moja la upande wa mguu ambao ni mzima.
Kwani alikwenda kuchukua mzigo?Sasa hivi anatuletea biashara gani?
Yaan hata mie nashangaaHivi yy tu ndo mgonjwa wa maana sana hapa tz?
Zaidi ya kichekesho.Yule muigizaji wastara anatalajiwa kupokelewa kesho akitokea India kwa matibabu mnaarifiwa mfike kumpokea , soma bandiko
haaahaaahaaaaa! anatingishwa coz halitingishiki lenyeweAkija atulie..
Sio kutwa kuruka ruka na kutingisha kalio moja kumbe anauharibu mguu.