Mapokezi ya Watoto wa Diamond Dar ni kufuru, Zari akataa kutumia ndege, awakodia helkopta

Mapokezi ya Watoto wa Diamond Dar ni kufuru, Zari akataa kutumia ndege, awakodia helkopta

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Wakuu achana na hela.
Jamaa yangu mmoja anashtua misuli kwa mmoja ya wale wasanii wa kike wa WCB kwa hiyo huwa ana access na baadhi ya vitu vya WCB ambavyo havijawa tayari kwa matumizi ya umma.

Jamaa mtoto wa kike alipokuja kumtembelea ghetto alifanikiwa kuona ratiba na orodha ya mapokezi yatakvyokuwa kwa watoto wa Mondi toka South Africa mpaka Tanzania wakuu ni kufuru.

Nawapa summary tu .
Kwa sababu ya mipaka kufungwa na tafrani za hapa na pale, madogo watakuja kwa helkopta mpaka Nakonde ambapo watamaliza taratibu zote za uhamiaji, baada ya hapo dude litaamka mpaka mjini Dar es Salaam ambapo maafisa wa afya watakuwa wanawasubiri ambapo baada ya kukamilisha mama yao ataongea na waandishi wa habari ambao watakuwa kwenye vibooth vya vioo ambavyo tayari vimejengwa pale WCB tower huku Zari akiwa mita 10 kutoka waandishi hao.

Baadae familia itakaa karantini kwa siku 14 kabla ya kuelekea Madale ambapo itaangushwa bonge la pati huku wasanii kadhaa wa WCB wakiperfom mbele ya mashabiki wasiozidi 50 ambao nao watakuwa na vyeti vinavyoonesha mizunguko yao yote kwa siku 14 zilizopita na cheti cha kuonesha walipima Corona na wako fit kujumuika.
 
Mambo mengine bhana, sasa kati ya ndege na helikopta ipi iko juu? Usitoshe helikopta ktk AK mpaka Bongo?

Hahahaha wewe mgeni wa hili jukwaa?


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom