Mapokezi ya Wema tishio

Kwahiyo kumbe na wewe ni mpumbavu na malaya kama Diamond?
Hili jambo niliwahi kulisema kuwa tabia za msanii zinareflect aina ya mashabiki alionao.
Mtu mstaarabu hawezi kua shabiki wa msanii/mwanamuziki mshenzi.
Habari za masiku nifah?
 
Last edited by a moderator:
Sasa hawa mashabiki uchwara wanahusikaje na huko songea alipogombea huyo?
Basi wakanywe naye chai
 
Kwahiyo kumbe na wewe ni mpumbavu na malaya kama Diamond?
Hili jambo niliwahi kulisema kuwa tabia za msanii zinareflect aina ya mashabiki alionao.
Mtu mstaarabu hawezi kua shabiki wa msanii/mwanamuziki mshenzi.

Hii Hapa Imekaa Kiintelijensia Zaidi.Kula Gwala Uditective Unakufaa Sana.
 
Hii Hapa Imekaa Kiintelijensia Zaidi.Kula Gwala Uditective Unakufaa Sana.
Asante sana mkuu, nimekua nikiambiwa hivi na watu wengi sana.
Ngoja nijitathmini upya.....
 
Yaah huyu ndiye my kipenzi. Wanawake tunaweza atiii.
Watu nyongo zimewatoka na wakati hata hela ya chai hamna. Heheheiyaaaaaaaaaaaa kwenye maisha kuna kupata na kukosa kufeli na kufaulu. Safari ya madam wema ndio kwanza imeanza na Mungu ni mwema atamfanikisha kwa kila jambo.
Mgawa ridhiki ni Mungu pekee.
Kabla hujamnyooshea kidole le madame hakikisha kidole chako ni kisafi.
 
tuache unafiki...!!! WEMA nae ni msanii ana mashabiki wake..!!! kwanini wasimpokee...! kila mtu na watu wake...!!
acheni kuwatukana mashabiki wa mtu...!!!

Na ana mashabiki ambao ni die hard fan.
Lazma apokelewe mbona yule bondia sijui ndio nani yule(sikumbuki) alishindwa kwenye pambano lakini alivyorudi kwao alipokelewa kama mfalme.
Waambie bhanaa kila mtu na chakee
 
Kila mtu na akipendacho ka vile mashabiki wa simba, Real Madrid. Hongera yake kwa kupata die hard fans

Na mimi kwa Wema nimekufa nimeozaa.
Naanzaje kukosa kumpokea labla. Acha wahare hare tuuu
 

Gazeti lote hili nikajua ni cha maana umeandika.
Pumba. Com
 
Wenyewe tunaangalia tu ... mnavyotoka mishipa ya shingo kumjadili mtu kumsport na kumponda ... hapa dar es salaam kila mtu na kick yake ya maisha.. kama ni malaya walikuepo wengi tu lakn kila kitu kina mwisho wake. Maisha haya dont judge pple waache tu na maisha yao hapa mjn na jua la utosi pia linachanganya. Just wait mtu afikishe 30 mpaka 33 tuone kipi kwa mwanamke kinamata kati ya tabia au uzur...???
 
Yuko Kigogo Mmoja Serikalini(na Mbunge) Ndo Anedhamini Kampeni Na Propaganda Zote Hizi Za Huyu Mama Ubaya.

Alikua Na Lengo La Kujisogezea Kiburudisho Chake Karibu Zaidi.Ila Biashara Imegeuka Biashara Kichaa.Pesa Za Kiinua Mgongo Zinawatia Wazimu Sana Hawa Waheshimiwa.Wanazitumia Kinyume Na Malengo Yaliyokusudiwa.
 
Na mimi kwa Wema nimekufa nimeozaa.
Naanzaje kukosa kumpokea labla. Acha wahare hare tuuu
Mwenzangu kipendacho roho kila mtu na akipendacho. Wasanii wengine wakipokelewa Sawa kwa Wema nogwa jamani wataita majina yote mabaya ooh ma.... Sijui nini kah. Duniani huwezi kupendwa na wote vilevile kuchukiwa na wote
 

Wewe itakuwa ni Wema tu mbona povu linakutoka jaribu kubadilika tafuta kazi ya kufanya co kutegemea mwili na hivi ndo tayari ishakuwa jioni hakuna mtu anayeweza kupoteza muda kukuhangaikia mtu km Wema hivi Wema huwa nae anajua kukataa akitongozwa?
 
+kumchukia mtu nao si ni uamuzi? Sasa nyie mnaotokwa povu kwa nini hamuheshimu maamuzi ya wenzenu?

+sio kila kitu ukipendacho wewe na mwenzako akipende, watu wana uhuru wa maoni acheni waponde watakavyo, ili mradi tu wasivunje sheria
 
Mwenzangu kipendacho roho kila mtu na akipendacho. Wasanii wengine wakipokelewa Sawa kwa Wema nogwa jamani wataita majina yote mabaya ooh ma.... Sijui nini kah. Duniani huwezi kupendwa na wote vilevile kuchukiwa na wote

Ndio tushampokea wakanye mipira kama hawataki.
 
Asisahau na zile pesa za vicoba asije kumpa presha bmkubwa ake.
 
Gazeti lote hili nikajua ni cha maana umeandika.
Pumba. Com

eeeeh

eeeeh

umesoma ukaona ukweli umekukamata maana yamekugusa rohoni pumba hizo nawe unahesabika ndani ya pumba hizo kimekukamata kikorosho ukweli mtamuuuu.

nipitie huko mie nenda kahesabu pesa anazoingiza kaka Ali unisahau kidogo basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…