Teh Teh...View attachment 271339
Habari wanayo..
Kuna haja ya kuchunguza mfumo wetu wa elimu, uenda tunazalisha mazuzu
Teh TehUkimdaka mmojawapo ukamuuliza kwann yupo hapo atakuambia basi tu
Ingekua mtu wako umpendaye ni Sawa kwa wengine nogwa kupokelewa.Tanzania yenyewe kama yenyewe inatakiwa iingizwe kwenye orodha ya maajabu nane ya dunia
Kila mtu na akipendacho ka vile mashabiki wa simba, Real Madrid. Hongera yake kwa kupata die hard fans
Teh teh teh wakipendacho wao ni correct. Tena wanaume ndo wamezidi wivu wa kijinga.Duh siku hizi dunia imeisha hadi wanaume na familia zao wana wivu???ndo maana mashoga wanaongezeka,sasa kumpokea mtu na kuwa na kazi kuna mahusiano gan??? Kama mtu humpendi usiwabeze wampendao
Ingekua mtu wako umpendaye ni Sawa kwa wengine nogwa kupokelewa.
Hii haihusiki na elimu kabisa mbona wasanii wengi tuu hupokelewa na mashabiki wao. Watu hawafanani.Kuna haja ya kuchunguza mfumo wetu wa elimu, uenda tunazalisha mazuzu
Kila mtu ana haki ya kufanya chochote akipendacho, wewe ukionacho ni positive kitu kwako kwa mengine ni negative. Na huwezi kuchikiwa na wote.unampenda mtu kwa positive things anazo fanya. Huyu ww unampenda kwa kua kafanya nn yani ebu nisaidie hapo mkuu wangu
Movie zipi zilimdodea labda sio kila kitu ni ushabiki. Na wewe Fanya makubwa tukuone basi.Ushabiki maandazi tuu mbona akitoa movie zinamdodea.
Kila mtu ana haki ya kufanya chochote akipendacho, wewe ukionacho ni positive kitu kwako kwa mengine ni negative. Na huwezi kuchikiwa na wote.
Kumpenda mtu au kumchukia ni maamuzi binafsi ya mtu. Watanzania hampendi kuheshimu wengine wavipendavyo.