Mapokezi ya Wema tishio

unampenda mtu kwa positive things anazo fanya. Huyu ww unampenda kwa kua kafanya nn yani ebu nisaidie hapo mkuu wangu

Umeongea point wangu, wema kaifanyia nini jamii? Si bora wangemsapot millen magese anayesaidia wanawake wenye matatizo wema ye kazi kujishau tu mitandaon hana lolote, team wema hawajielewi
 
Yani mm mwenywe nimeona wajinga tu kafanya nini cha mahana kwa kweli wema mashauzi ndio yanamuagusha na tim yke mavi
 
Umeongea point wangu, wema kaifanyia nini jamii? Si bora wangemsapot millen magese anayesaidia wanawake wenye matatizo wema ye kazi kujishau tu mitandaon hana lolote, team wema hawajielewi
Warumi ndege wa rangi moja huruka pamoja.watu wa Singida wanajielewa sana hebu tuwe makini jamani yanii Wema awe mbungeee?.akatutungie sheria na kupitia mikataba ningehama mimi na wanangu niende SOMALIA
 
Surprising indeed. Kuna mtu kwenye huu uzi ninamjua fika. Amejichubua zaidi ya Wema, anachuna mabuzi mjini regardless kwamba ana permanent ambaye ni mume Wa mtu, anauza hadi dawa za kuunga K, na alishato amimba kadhaa kwa kukiri mwenyewe mahali flan.
We Dada daily unamsema Wema kwa tabia hizi ila ipo siku nitakutaja kwa jina na eneo unalopatikana. Nitamtaja yule mume Wa mtu pia.
 

Ndio maana amekosa ubunge Singida...... Mtaji wote huu wa watu wa Dar kajipeleka Singida wakati angegombea hapa Dar angefanikiwa
 
Nimewaona team Wema yani jamani tusiwashangae akiri zao zinafanana.yani wanafurahia kufeli? Kwa ninavyoifahamu siasa huwa inaangalia matukio yako ya nyuma sasa wale watu wa wema na Wema hata mara ingine asitegemee hata kufikiliwa ujumbe nyumba kumi.Wema ilitakiwa akae na team yake wakae wajitafakari kwa nini ameanguka yani zile vurugu hata mshindi hajafanya vile.Team Wema wote hawajitambui
 

Hahaha hahaha!!!mtaje bac tumjue
 
chadema jembe jingine hilo chukueni, mwaka huu ikulu lazima,
 
Mwanamke akishatoa mimba makusud tu, namuonaga hana maana, takataka kabisa, siez mtetea au kumshabikia kwa chochote!
Poor you.
Wewe ni msafi kiasi gani hujawahi tena dhambi,hujazini kwa Mungu dhambi zote sawa iwe chuki,usengenyaji yote sawa
 

Na yeye ni kioo cha jamii kama Wema?
 
Hongera kwa kubadili uamuzi wako juu yake kwakua we umechange basi jua kuna ambao bado hawajachange pia hivo bado hawamkubali, kwani kipi kilikufanya usimkubali hapo nyuma madame?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…