Hahah kibao cha makalioni si hata wewe utachukia ukipigwa utahisi jamaa anataka afumue marindaKampige kibao cha makalio afu ukimbie, ulete mrejesho.....
wakuu tunasubiri, siunajua kujitolea ni moyo
Yaan nasubirKama nakaona kapare ka marekani kalivonuna huko, katakuja na bonge la gazeti lililojaa wivu
Hata mi ningesogea kuona mwanamke mrembo ambaye boy wake hajaridhika na urembo na kumletea kiumbe kingine. Yani alimsaliti bila mpira hehe. WanaumeeeHakika watanzania wanampenda sana Zari check walivyo jaa kumpokea ....
Amepokelewa leo au zamani?,na amepokelewa wapi?,dar,zanzibar au mwanza?,unaandika kama unakimbizwa buana,njoo ujazie nyama
Airport DarAmepokelewa leo au zamani?,na amepokelewa wapi?,dar,zanzibar au mwanza?,unaandika kama unakimbizwa buana,njoo ujazie nyama
Naona han mda na m2
Lini?, acha uvivu mjomba.Airport Dar
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Amepokelewa leo au zamani?,na amepokelewa wapi?,dar,zanzibar au mwanza?,unaandika kama unakimbizwa buana,njoo ujazie nyama
Haha leo jijini Dar kwa shughuli maalumLini?, acha uvivu mjomba.
ila ichi kibibi niki mon'goo ataree duu!!! Sura ka dodoki la vyombo
Yuko busy na mizigo, badala kufanya close protection [emoji3]Hivi huyo baunsa anaweza ngumi kweli? au ni midevu tu ya kuogopesha watu?
[emoji3] sawa, safi mkuu [emoji122]Ninapambana na hali yangu