Mapokezi yake si mchezo

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Nimeona mapokezi ya diamond guinea ya bissau ni makubwa Sana honest nimefurahi kuona jinsi gani mziki unavyopiga hatua kubwa sana.Big up kwake kwa kuendelea kuiwakilisha vizuri Tanzania.
 
bila kapicha au kavideo huu uzi utakuwa sawa na gazeti la udaku.! au page uchwara za insta zenye vifollowers (in jf's member voice)
 
bila kapicha au kavideo huu uzi utakuwa sawa na gazeti la udaku.! au page uchwara za insta zenye vifollowers (in jf's member voice)
Nimejaribu kuweka video imeshindikana
 
Sasa video iko wapi tuthibitishe hicho unachokisema.
 
Yale yale ya Kutembezwa barabarani ili watu waje kwa show
 
Kijana anafanya vizuri ila awaige kina Davido wakina Wizkid hayo mambo hawafanyi tena wao ni kujaza tu arena sio kujionyesha barabarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…