Kutembezwa barabarani kivipi wakati hapo ni airport?! Hilo ni nyomi ambalo lilifika kumpa shangwe Mchizi! Kiongozi, hata kama unaamua kuwa hater, jaribu kuwa objective hater, vinginevyo ndo yale yale utaishia kusema kiingilio ni Sh. 850/= za Kibongo kwa sababu tu hukutaka kuhangaika kujua Guinea aliyoenda jamaa ni ipi!