KERO Mapori yanayozunguka Chuo cha SAUT ni hatari kwa usalama wa wanafunzi

KERO Mapori yanayozunguka Chuo cha SAUT ni hatari kwa usalama wa wanafunzi

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Licha ya chuo pia kuwa na mazingira mabovu lakini uwepo wa mapori kuzunguka chuo imekuwa ni hatari kwa usalma wa wanafunzi.

Wanafunzi wanakabwa, lakini chuo kimekuwa kinatoa matamko bila ufuatiliaji kwa hadhi ya chuo cha SAUT angalau kuwe na fensi na taa za barabarani especially kwa barabara ya Masha, usalama ni mdogo.
 
Licha ya chuo pia kuwa na mazingira mabovu lakini uwepo wa mapori kuzunguka chuo imekuwa ni hatari kwa usalma wa wanafunzi. Wanafunzi wanakabwa, lakini chuo kimekuwa kinatoa matamko bila ufuatiliaji kwa hadhi ya chuo cha SAUT angalau kuwe na fensi na taa za barabarani especially kwa barabara ya Masha, usalama ni mdogo
Sheikh Assalam Aleikum
 
Licha ya chuo pia kuwa na mazingira mabovu lakini uwepo wa mapori kuzunguka chuo imekuwa ni hatari kwa usalma wa wanafunzi.

Wanafunzi wanakabwa, lakini chuo kimekuwa kinatoa matamko bila ufuatiliaji kwa hadhi ya chuo cha SAUT angalau kuwe na fensi na taa za barabarani especially kwa barabara ya Masha, usalama ni mdogo.
SAUT ya wapi?
 
Back
Top Bottom