KERO Mapori yanayozunguka Chuo cha SAUT ni hatari kwa usalama wa wanafunzi

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Licha ya chuo pia kuwa na mazingira mabovu lakini uwepo wa mapori kuzunguka chuo imekuwa ni hatari kwa usalma wa wanafunzi.

Wanafunzi wanakabwa, lakini chuo kimekuwa kinatoa matamko bila ufuatiliaji kwa hadhi ya chuo cha SAUT angalau kuwe na fensi na taa za barabarani especially kwa barabara ya Masha, usalama ni mdogo.
 
Sheikh Assalam Aleikum
 
SAUT ya wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…