Maposeni high school

Maposeni high school

mborake

Member
Joined
Jun 27, 2013
Posts
44
Reaction score
2
Jamani mliopata join instruction za maposeni naomba mnisaidie maana niko mbali sana means Tarime maana siku zenyewe za kuripoti zimekaribia sana na bado hatujajipanga kwasababu ya join instruction
 
Nenda huko usiogope, ila ni maporini. Unauacha mji wa Songea, unapita Peramiho mission ndio unaingia huko!
 
Back
Top Bottom