M mborake Member Joined Jun 27, 2013 Posts 44 Reaction score 2 Jul 24, 2013 #1 Jamani mliopata join instruction za maposeni naomba mnisaidie maana niko mbali sana means Tarime maana siku zenyewe za kuripoti zimekaribia sana na bado hatujajipanga kwasababu ya join instruction
Jamani mliopata join instruction za maposeni naomba mnisaidie maana niko mbali sana means Tarime maana siku zenyewe za kuripoti zimekaribia sana na bado hatujajipanga kwasababu ya join instruction
N Ndala ndefu JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 237 Reaction score 42 Jul 25, 2013 #2 Nenda huko usiogope, ila ni maporini. Unauacha mji wa Songea, unapita Peramiho mission ndio unaingia huko!
Nenda huko usiogope, ila ni maporini. Unauacha mji wa Songea, unapita Peramiho mission ndio unaingia huko!