"mapovu" linatumiwa sawa sawa hapa jf?

"mapovu" linatumiwa sawa sawa hapa jf?

Michosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
662
Reaction score
649
neno mapovu nimekuwa nikiilisoma mara kwa mara humu JF,hasa kwa wachangiaji wengi huwa wakilitumia.
mfano usilete mapovu yako hapa!!!! toa mapovu yako hapa!!,n.k. je ,huwa linatumika kwa usahihi au ndiyo matumizi mapya ya hili neno mapovu
.naomba mawazo yenu wadau.
 
Back
Top Bottom