Naomba kufahamu juu ya hili ili na watu wengine wajue pia kwa anayefahamu kama kuosha kwenye uke kwa kutumia sabuni kuna madhara? Je kusipooshwa kwa sabuni vp kuhusu harufu hasa kama ametoka kufanya tendo la ndoa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.