sirluta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2012 Posts 6,325 Reaction score 2,491 Apr 8, 2015 #1 Naomba kufahamu juu ya hili ili na watu wengine wajue pia kwa anayefahamu kama kuosha kwenye uke kwa kutumia sabuni kuna madhara? Je kusipooshwa kwa sabuni vp kuhusu harufu hasa kama ametoka kufanya tendo la ndoa?
Naomba kufahamu juu ya hili ili na watu wengine wajue pia kwa anayefahamu kama kuosha kwenye uke kwa kutumia sabuni kuna madhara? Je kusipooshwa kwa sabuni vp kuhusu harufu hasa kama ametoka kufanya tendo la ndoa?