Kweli mi WCB lialia ila mapozi hapana wameimba kifala imepoa sana haina mzukaNimeisikiliza na kuiangalia nyimbo ya Mapozi nimegundua haina mvuto hata kidogo. Inabebwa na ukubwa wa Diamond, yaani hata leo Diamond aimbe maua mazuri yapendeza ukiyatazama yana rangi nzuri...... nina uhakika itaongoza ku trend kuliko nyimbo za wasanii wengine.
KIMSINGI NYIMBO YA Dah iliyoimbwa na Nandy ft Kiba ndio nyimbo bora sana mwaka huu kuliko ya msinii mwingine
Content ni nzuri ada sijui lakini mapozi napendaNimeisikiliza na kuiangalia nyimbo ya Mapozi nimegundua haina mvuto hata kidogo. Inabebwa na ukubwa wa Diamond, yaani hata leo Diamond aimbe maua mazuri yapendeza ukiyatazama yana rangi nzuri...... nina uhakika itaongoza ku trend kuliko nyimbo za wasanii wengine.
KIMSINGI NYIMBO YA Dah iliyoimbwa na Nandy ft Kiba ndio nyimbo bora sana mwaka huu kuliko ya msinii mwingine
Hamna Mkuu ila tukirudi nacho hakuna ....Ni maoni yako na ni muhimu kuyaheshimu ila hayawezi kua biblia.
Kwako si ndiyo au unawakilisha watanzaniaHamna Mkuu ila tukirudi nacho hakuna ....