Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,258 Jan 7, 2016 #1 Nimeangalia kwa makini sana kupitia Mapinduzi Cup naona mapro wengi ni mzigo tu na nashawishika kiamini kwamba ni kweli ni dea za wanaojiita watu wa mpira sijui wenzangu
Nimeangalia kwa makini sana kupitia Mapinduzi Cup naona mapro wengi ni mzigo tu na nashawishika kiamini kwamba ni kweli ni dea za wanaojiita watu wa mpira sijui wenzangu
LWENYI JF-Expert Member Joined Jul 4, 2013 Posts 1,798 Reaction score 2,107 Jan 7, 2016 #2 Wewe achana na kamusoko na ngoma wewe
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,258 Jan 7, 2016 Thread starter #3 LWENYI said: Wewe achana na kamusoko na ngoma wewe Click to expand... KATI YA SABA NI WAWILI SIO
LWENYI JF-Expert Member Joined Jul 4, 2013 Posts 1,798 Reaction score 2,107 Jan 8, 2016 #4 Amavubi said: KATI YA SABA NI WAWILI SIO Click to expand... Kwani Simba yupo nani?
Sinoni JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 6,581 Reaction score 11,572 Jan 8, 2016 #5 Ni kweli, wanabebwa bebwa na magazeti lakini uwanjani ni sifuri..
kilimbamula JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,792 Reaction score 853 Jan 9, 2016 #6 Ni kweli ni mizigo, Yanga inawajaza wote uwanjani licha ya kuwa na performance duni.