Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Siku viongozi wastaafu wataacha kuteuliwa kwenye nafasi mbalimba itawasaidia sana kujiandaa kustaafu kwa angaliu kuwa na kipato chakuwawezesha kuishi uraiani kwa miaka mitano
Viongozi wengi waandamizi wa serikali wanaishi kwa kuhudumiwa kila kitu na serikali. Wakistaafu wanajikuta hawana capacity na financial capability kuishi uraiani.
Wengi wanajiandalia mazingira ya kuteuliwa kabla ya kustaafu. Wanakosa nguvu ya kutembelea usafiri wa maana kama ambavyo waliaminishwa na mfumo kwamba wapo salama wakitembelea v8 .
Nikiwa Rais hakuna kumteua mstaafu, nitawataka waunde kampuni niwape support ili waweze kujisimamia badala ya kuwa na kizazi ambacho hakina msaada kwa jamii.
Maprofesa wenye kampuni nchni sidhani kama wapo, wenye taasisi zao hawapo.....elimu yao ya PHD inasaidia nini jamii? Kama PhD holder hana hata consulting firm unatarajia elimu yake ilisaidie taifa?