Elections 2010 Mapungufu kwa Wagombea wote Tanzania haya hapa

Elections 2010 Mapungufu kwa Wagombea wote Tanzania haya hapa

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,390
Gazeti moja la kila juma la kanda ya ziwa katika toleo lake la leo limeripoti mapungunfu kwenye kampeini za wagombea kuwa HAWATAKI KUULIZWA MASAWALI kutoka kwa wapiga kura
soma mwenyewe kupitia blog inayomiliki gazeti hilo
gonga hapa
 
hayajaainishwa vizuri tatizo ni mfumo mzima wa uendeshaji kampeni hapa Tanzania usiozingatia haja ya kuwepo midahalo ya wazi baina ya wagombea kwa minajiri ya kutoa nafasi ya maswali
 
HAWATAKI KUULIZWA MASAWALI kutoka kwa wapiga kura. bila shaka wapiga kura nao wana mapungufu; badala ya kuuliza kuhusu sera wenyewe hukimbilia maisha binafsi.
 
Back
Top Bottom