Gazeti moja la kila juma la kanda ya ziwa katika toleo lake la leo limeripoti mapungunfu kwenye kampeini za wagombea kuwa HAWATAKI KUULIZWA MASAWALI kutoka kwa wapiga kura
soma mwenyewe kupitia blog inayomiliki gazeti hilo gonga hapa
hayajaainishwa vizuri tatizo ni mfumo mzima wa uendeshaji kampeni hapa Tanzania usiozingatia haja ya kuwepo midahalo ya wazi baina ya wagombea kwa minajiri ya kutoa nafasi ya maswali
HAWATAKI KUULIZWA MASAWALI kutoka kwa wapiga kura. bila shaka wapiga kura nao wana mapungufu; badala ya kuuliza kuhusu sera wenyewe hukimbilia maisha binafsi.